Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kilimo ukijizatiti hakikuangushi.
Sana sana kilimo cha kumwagilia.
Kilimo cha umwagiliaji kina maadui wachache sana kuliko kilimo cha msimu
Njooni Morogoro kwenye bonde la mto Wami/Ruvu tupige pesa kwenye kilimo cha mahindi ya kuchoma, tikiti maji, vitunguu saumu na vitunguu maji.
Pesa njenje Mambo ni kama hayo.
Rafiki mkubwa ni maji tu
 
Nadhani hofu ingetuua sana kuliko corona yenyewe.
Waswahili wana msemo usemao "Jogoo hafi kwa utitiri".
Mafua na kifua ni ugonjwa, lakini wafrika tunapitia magonjwa mazito zaidi kuliko mafua.
Kubwa zaidi tulimtanguliza Mungu mbele.
Mungu atatulinda Inshaallah [emoji120][emoji120][emoji120]
Yaan jamani, watu tulipata hofu kweli kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wazee wa kilimo na soko la kwenye makaratasi,ni waongeaji wazuri sana lakini hata plot moja ya field hana [emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…