Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Apps zinazo ongoza kwa kupakuliwa zaidi Google Play Store mpaka kufikia Machi, 2020.
1. WhatsApp Messenger- 56.71M
2. Tiktok- 48.94M
3. Instagram- 32.3M
4. FB- 25.55M
5. Slap Kings- 24.8M
6. Draw Climber- 24.56M
7. FB Messenger- 23.75M
8. Woodturning- 20.44M
9. FB Lite- 18.88M
10. Snapchat- 16.71M
 
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa katika mtandao wa Sing, 51% ya watumiaji wa Android walikubali kuwa tayari kuhama kama watapewa bure simu ya iPhone, 60% ya watumiaji wa iPhone waligoma kuhama hata kama watapewa simu yenye mfumo endeshi wa Android bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…