Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwaka 2006, FBI walimuweka shushushu (spy) mmoja katika moja ya msikiti kwaajili ya kuwapatia taarifa za kiusalama, mtu huyo nae alikuwa ni muislam. Kilichotokea waumini wa msikiti huo walienda kumshitaki FBI kuwa wana wasi wasi mtu huyo ni hatari kwa usalama wa nchi.
 
"I'm gonna tell God everything" Tafsiri "Nitaenda kumwambia Mungu kila kitu" Inasemekana kuwa ni maneno ya mwisho yaliyotamkwa kwa uchungu na mtoto wa miaka 3 kutoka nchini Syria kabla hajafariki mwaka 2015 chanzo kikiwa ni vita inayoendelea nchini humo.
 
Isaac Newton wakati anajiunga na Chuo Kikuu Cha Cambridge ilikuwa ni kipindi ambacho Shule na Vyuo vingi vilifungwa kwa muda kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa tauni, ndicho pia kipindi alichogundua hesabu za "Calculus" akiwa na miaka 23 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…