Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]
Mod wameshiriki kuhamisha uzi wa jembekillo kwa mtu mwingine.

Watoto hawajambo habari za hapo Kiembesamaki
wewe si ndiye uliyemuibia jembe killo uzi wake kwa kutumia id nyengine........umeona like 6 kwa kila comment hazitoshi.
umeamua upate like 700 kwa comment 1
===============
watoto hawajambo nyumbani?
 
Hahahahaha uuuuh
tunajuana na huyo bwege, vita yetu hata simba hawezi kuingilia.
tokea mwezi february (valentine day) huyo bwege ndio ameonekana leo, anakuja na hoja ya ubize unaochangiwa na majukumu ya kila siku.
anatufanya sisi ni mapimbi maji, hao wamasai wanaosafiri eneo moja kwenda jengine wakiwa na kundi la mifugo yao wanapata muda wa kutumia internet sembuse mjinga huyo anayelishwa bure, kuvishwa bure na baba mkwe wake.
 
Ila mbona ht mm nilipotea mwaka mzima[emoji14][emoji14][emoji14]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…