The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
yes, nipo kwenye siku yangu....
wahitaji nini nikusaidie?
umekuja na munkari kama simba mwenye mimba
fala wewe
vipi umeshaoa au bado unalala mwenyewe kama nyoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe uliyeoa una utofauti gani na mimi bachelor vegetable,
mke umepokonywa ndio maana ukapotea humu ndani
hamida, hamida, nakufa, hamida usiniache, hamidaaaaaaaa
kumbe yule fala ni wewe
Ishu ya mapacha hata sijui iliishia wapi aisee. Haki ya mama nimezeeka [emoji16][emoji16][emoji16]Abee mtunza mapacha wangu[emoji4]
Sijaelewa hapa jirani [emoji51][emoji51]Ndio vizuri kuwafanyia wenzio vibaya...
Haha, usizeeke bhana ngoja tulee mapacha...Ishu ya mapacha hata sijui iliishia wapi aisee. Haki ya mama nimezeeka [emoji16][emoji16][emoji16]
Natumaini unaendelea vyema TH
Lala salama bageshi japo ni mapema sana [emoji1545][emoji1545]Mlale salama wote.
Nawamis, nawapenda. Karibuni shinyanga/Simiyu kwenye mikoa ya asali na maziwa[emoji14]
Amen TH.Haha, usizeeke bhana ngoja tulee mapacha...
Mungu ni mwema, naendelea vizuri, Vipi upande wako.? Mibaraka ya Muumba ikawe pamoja nawe.
The disruptor....
View attachment 1470299
Wow[emoji7][emoji7], mapacha hawa wanaonekana wachangamfu...nipatiepo awamu moja basi[emoji51]TH ona mambo ya mapacha haya....
View attachment 1470376
Lala salama bageshi japo ni mapema sana [emoji1545][emoji1545]
Asanteeh, Usiku mwemaMlale salama wote.
Nawamis, nawapenda. Karibuni shinyanga/Simiyu kwenye mikoa ya asali na maziwa[emoji14]
Kakijana kana bahati ya mtende kuachiwa baraka zote na anko[emoji852]