Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nashangaa, huwa wanaingilia kwenye mataifa mangine kujifanya wanatetea haki za binadamu kumbe ni wauwaji wakubwa.
Mwenyezi Mungu awapige laana kwa kuangamiza mama na watoto kwenye mataifa mengine wakijifanya kutetea haki za binadamu wakati nyumbani kwao wanaua watu ovyo
Duuuh ni wengi hd mwili umesisimka.
Wanaojinasibu kuwa wasimamia haki za binadam [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…