Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Miaka ya 1980 Bakuba ilijizolea wapenzi na mashabiki lukuki ikishirikiana na Nyboma Mwandido kurekodi wimbo wa Moyibi mwaka 1988 wimbo ambao uliiongeza bendi hiyo umaarufu katika nchi zinazozungumza lugha ya kifaransa huko Afrika ya Kati na Magharibi.
 
Miaka ya 1990 Pepe Kale alitoa album zingine za Gigant Afrique Lager than Life na Cocktail. Nyimbo zingine zilikuwa za Hidaya, Sintia, Reovisie, Guy guy na Yanga Afrika. Nyimbo zingine zilizotikisa masikio ya wapenzi zilikuwa La- rhumba,Don’t Cry Yaja, Zouke Zouke Nakutuna na Pon moun Paka Buoge.
 
Watanzania tutaendelea kumukumbuka Pepe Kalle ambaye alipotua Tanzania, ilitunga nyimbo kupitia lugha ya Kiswahili, za Yanga Afrika, akisifia Klabu ya Yanga iliyokuwa ikitajwa mfadhili wa klabu hiyo Abbas Gulamali, Hidaya, wimbo alioimba akilalamika kupoteza mkanda wake wa kiuno na mpenzi Bupe, aliutunga alipotoka jijini la Mbeya kufanya onyesho.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaaaazi kweli kweli
[emoji23][emoji23] kuna comment moja iliwahi kutolewa humu kua wewe na myoyambendi ni maRobot
 
Back
Top Bottom