Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20200606_204849.jpg
😁
20200606_204849.jpg
 
Novemba 28,kila mwaka ndugu, jamaa na wapenzi wa muziki wa dansi Afrika Mashariki, Kati, Magharibi na Ulimwenguni kwa ujumla, itakuwa ni siku ya majonzi tukiomboleza kifo cha mwanamuziki Pepe Kalle aliyefariki Novemba 28, 1998 kwa ugonjwa wa moyo akiwa na umri wa miaka 47.
 
Rapa wake mahiri na kiongozi wa wacheza Shoo Bileku Mpasi na mbilikimo wawili Emoro na Jolly Bebbe walitoa burudani tosha kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam mwaka 1991. Mwaka uliofuatia wa 1992, Emoro alifariki dunia akiwa na bendi yake nje ya nchi kwa safari za kikazi ya muziki.
 
Baada ya kukomaa kimuziki akatimka na kwenda kujiunga na bendi ya Lipua Lipua iliyokuwa ikimilikiwa na Kiamunagana Mateta Wanzo la Mbonga ‘Verkeis’Akipotua Lipua Lipua, haikuchukua kipindi kirefu akafanywa kuwa mwimbaji kiongozi akishirikiana na mwimbaji wengine Nyboma Mwandido.
 
Back
Top Bottom