moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwa unafiki na wanaonyesha acha waangamie tu, sina huruma kabisa na hawa watu
Wako katika hali mbaya. Korona na sekeseke la George Floyd limeifanya dunia iwajue kwa undani. Rais wa nchi inayojinadi eti ndiyo mlinzi wa demokrasia anaita jeshi kuja kushambulia waandamanaji wasio na silaha. Heshima na ubabe wao kwisha. Na bado Putin anapambana usiku na mchana Trump achaguliwe tena. Miaka minne mingine ijayo Trump ataimaliza kabisa nchi hii...