Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Asante bageshi..Zote ila anabadilika kulingana na jinsi unavyomtumia.
Akiwa machungani tu anakuwa kwenye kilimo na mifugo.
Akibeba mizigo anakuwa kwenye uchukuzi.
Ukimkuta porini basi ni wizara ya utalii[emoji14]
Mmeamkaje huko?