Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SawasawaKama unatumia pesa zako kwa mambo ya hovyo hovyo basi hata kama kipato chako ni kikubwa kiasi gani, pesa hizo utakuwa unazipoteza tu bure na hakuna unachofaidi.
Sawa...Kila wakati chunga matumizi yako na hakikisha unajua pesa zako zinakwenda wapi kila siku iitwapo leo.
Ni kweli..Ujue kuna watu hupenda kuona mtu amepitia maumivu flani wao inawapa raha sana.