Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Let's eat... ndio raha ya kuishi.

Azaleia-caribea bar and restaurant mtaa wa kilimani ave, kuna nyamachoma bby ya kufa mtu, inakua served with rosted potatoes, kachimbari (cheese salads) pamoja na sukuma wiki... lazima utarudi tena.
052e0b09ce735621d40c269e3b84bb0f.jpg
 
Back
Top Bottom