Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8e5abb184615bac394ff9108a9a4afb1.jpg
 
Jaribu wali na maharage, hibiscus lemonade, vegan cheese and salad... mamantilie wa sauziii
cf983b7f095e66bf547f2a0cb8a8d127.jpg

He he heeee

Unanikumbusha enzi za kuwa na mimba nilipenda sana kula

Sikujali wapi naenda kula kilichonivutia nikikifata

Sasa nilipoona adverts za restaurants ndio uwiiiiiii

Wiki moja yote nitaenda hiyo sehemj kula kula kulaaaaa na kusubiria kingine cha kunivutia

Maisha matamu

Kumbukumbuuuuuuu
 
Hahahaha cocochanel
 
Back
Top Bottom