Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tena msabato huyu. [emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_15917000011246033.jpg
 
zanku
New Member
Jun 9, 2020120
39 minutes ago

*KUSHAMBULIWA KWA MBOWE TUANZIE HAPA*

Ijumaa Mbowe aliingia Mkoa Kilimanjaro Wilaya ya hai wakiwa Jumla ya watu watatu katika Gari yake ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Iliyobadilishwa namba na kuwekwa namba ya Kawaida. Kwenye Gari hilo alikuwepo Dereva wake anayejulikana kwa jina la *_Wile_* Mlinzi wake anayejulikana kwa jina la *_Allan Bujo_* Pamoja na Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la *_Joyce Mukya_*

Safari ya Hai ya Mbowe ilikua na lengo la kukutana kwa siri na Viongozi wa Dini pamoja na watu maarufu wa Hai ambapo Mkutano huo wa Siri uliandaliwa na katibu wake *_Irene Lema_* Pamoja na Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Hai ndugu *_Mnyampanda_* Mpaka kufika Jioni Mkutano huo ulishindikana kufanyika baada ya waalikwa kutofika eneo husika. ( _Hili katibu wake na Mwenyekiti wa chadema wanalifahamu na mawasiliano yao yote wanayo_ )

Baada ya Hapo Siku ya Jumamosi Mbowe alilala Hotel inaitwa *_Masai Boma_* Iliyopo Boma ng'ombe na Alilala na *_Joyce Mukya_* mpaka mpaka Jumapili.

Siku ya jumapili Mbowe alikua katika Bar inaitwa *_Sunset bar_* na alikua amekaa upande wa nyuma wa Bar hiyo akiwa na Mwanamke anaitwa *_Helena Shayo_* ambaye. ni mke wa bwana *_Joseph Malya_* ambaye ana mgogoro na mkewe juu ya mawasiliano ya kimapenzi na mbowe.

pale Sunset bar Mbowe alikua anakunywa Konyagi Kubwa na Helen Shayo alikua anakunywa mvinyo aina ya St. Anne.

Usiku wa Jumapili kuamkia jumatatu Mbowe alilala na Helen Shayo na jumatatu jioni alimpitia Joyce Mukya na wakaanza safari ya kuelekea dodoma na wakati huo Mbowe alikua amelewa sana.

Inasemekana Mbowe kashambuliwa na watu watatu maswali haya tujiulize

*_Joyce Mukya_* alikua wapi wakati huo?
*_Wile_* Ambaye ni dereva wake na pia ni mlinzi wake alikua wapi wakati huo?
*_Allan Bujo_* Ambaye ni mlinzi wake alikua wapi wakati huo?

Kama mbowe alitoka Kilimanjaro akiwa amelewa mlinzi na dereva walikua wanajua hilo walimuachaje apande ngazi mwenyewe?

Hao watu niliowataja wanaweza kusaidia kujua ukweli wa tukio hili

Tuanzie hapa.
 
Back
Top Bottom