myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku umeingia kwetu
Sana,mie naona mwenyekiti na mtangaza nia nyendo zao binafsi sio safi hivyo vipigo havihusiani na masuala ya siasa kabisaWanafanya siasa za kishamba....[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Wanafanya siasa za kitoto sana. Mtu unaporomoka kwenye ngazi huko usiku wa manane umelewa na malaya wako huko tayari...Aaaaargh !!!Sana,mie naona mwenyekiti na mtangaza nia nyendo zao binafsi sio safi hivyo vipigo havihusiani na masuala ya siasa kabisa
Yaan mtu akosee nje ya siasa atandikwe aje kutupa shida tusiohusika daah
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Figo mbili, mapafu mawili, masikio mawili, halafu mpenzi mmoja! Kivipi yani?[emoji846][emoji1787][emoji1787]
Nasikia alikuwa ashaliandaa bata la kustaafiaVery young. RIP
View attachment 1473437
Hahaa, samahani bana. Si nikasahau; naona hii pombe aina ya pingu inanipeleka pabaya. Mwakani tena basi! 😁😁[emoji16][emoji16][emoji16] mi nakuangalia tu Yego, unaniahidi halafu unajikausha kama haupo daah
Sent using Jamii Forums mobile app