Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sana,mie naona mwenyekiti na mtangaza nia nyendo zao binafsi sio safi hivyo vipigo havihusiani na masuala ya siasa kabisa

Yaan mtu akosee nje ya siasa atandikwe aje kutupa shida tusiohusika daah
Wanafanya siasa za kitoto sana. Mtu unaporomoka kwenye ngazi huko usiku wa manane umelewa na malaya wako huko tayari...Aaaaargh !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…