myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee.....
Kakimbaumbau maridadi ajabu [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Saint Anne unaitwa huku......Nilitoroka jeshini makao makuu kwenda kumtazama huyu mwamba. Kulikuwa na jimama moja hivi cheza shoo yake yaani lilikuwa linakata mauno kama vile halina mifupa. Kweli siku hazigandi...Miaka 30 tayari ishapita dah !!!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kakimbaumbau maridadi ajabu [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Kakimbaumbau maridadi ajabu [emoji1547][emoji1547][emoji1547]