D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
https://kissasian.sh/Drama/Fix-You/Episode-21-22Naomba link ya kissasian esta, maana nakutana na kitu cha ajabu kweli
Ndio maana wao wanaongea kikorea so subtitles kizunguHizi m9vie zina sub tittle,
Siwezi kukukimbia wife... View attachment 1474443
Wanakwambia wao madereva daladala,wauza bucha,wakulima,wauza duka,wacheza bao etc hivyo vipindi muhimu kwaokuna watu mpaka leo wanafuatilia vipindi vya muziki kupitia televisheni na redio.....
Bila B Dozen bado XXL ni show nzuri
π π π π€£ π€£ π€£ ππππππOoooi we mzee,huu ni ukatili wa kisaikolojia kbs[emoji28][emoji28].
Unakuja na hilo lijishepu ili iweje
Wabarikiwe wajukuu zakoo π¬ ....Uvumilivu hapa ndio mahala pakeπ€https://kissasian.sh/Drama/Fix-You/Episode-21-22
Hii hapo juu ukigoogleView attachment 1474498pia hii stepView attachment 1474499 muhimu sana ivumilie tu
Amen. Na hapa pia pasikutishe chagua hio FEWabarikiwe wajukuu zakoo π¬ ....Uvumilivu hapa ndio mahala pakeπ€
π π π nakwambia ningeanza kuchezea hivyo vikatuni.....Hivi mpaka niwe member ndio nishushe muvi?Amen. Na hapa pia pasikutishe chagua hio FEView attachment 1474506
Hahahahaha aunt bana.π π π nakwambia ningeanza kuchezea hivyo vikatuni.....Hivi mpaka niwe member ndio nishushe muvi?
Usiku wa kuendesha baisikeli [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1474395
Kupunguza chenga nyingi ukiingia tu kissassian hapo juu kuna sehemu ya kusearch movie iandike usearch ikija fatasteps hizo bure bila kuwa mwanachamaπ π π nakwambia ningeanza kuchezea hivyo vikatuni.....Hivi mpaka niwe member ndio nishushe muvi?
Nisipojua hata salam ya kikorea nitakua mzembeNdio maana wao wanaongea kikorea so subtitles kizungu
kichwa kigumu kama anne.....nishaonapo steps auntie.Hahahahaha aunt bana.
Sio lazima kuwa member ukishavipita vikatuni utakuta hivi. Hakikisha huo unjano upo kwenye FE kisha chini yake utakuta click here to downloadView attachment 1474514
Usiku wa kuendesha baisikeli [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1474395