Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati huo muziki toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ulitawaliwa zaidi na bendi za African Jazz ya Joseph Athanase Tchamala Kabasele ‘Le Grand Kalle’, African Fiesta ya Nicolas Kassanda wa Mikalay maarufu kama Dk. Nico Kasanda na Tout Puisant Orchestre Kinnie Jazz (TP OK Jazz) ya L’Okanga La Ndju Pene Luambo Luanzo Makiadi Franco.
Enzi ya dhahabu....
 
Zaiko Langa Langa ni bendi kongwe huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa sasa, ambayo bado inaendelea kudunda licha ya wimbi kubwa la kuhamwa na wanamuziki mahiri pamoja na ushindani uliopo hivi sasa.
[emoji818][emoji818]
Kimsingi haitakuwa vibaya kuitaja Zaiko Langa Langa kuwa ni chuo cha muziki nchini humo.
 
Miss Yo
20200607_103525.jpg
 
Back
Top Bottom