myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Enzi ya dhahabu....Wakati huo muziki toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ulitawaliwa zaidi na bendi za African Jazz ya Joseph Athanase Tchamala Kabasele ‘Le Grand Kalle’, African Fiesta ya Nicolas Kassanda wa Mikalay maarufu kama Dk. Nico Kasanda na Tout Puisant Orchestre Kinnie Jazz (TP OK Jazz) ya L’Okanga La Ndju Pene Luambo Luanzo Makiadi Franco.
[emoji818]Zaiko Langa Langa mpaka sasa bado ingali inaongozwa na mkongwe N’Yoka Longo Mvula.
Ki-Paroko yaaani. Tunapiga sana sala. 😁 😁Wagumu mnaishije? CHAPUTA ama? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji818][emoji818]Zaiko Langa Langa ni bendi kongwe huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa sasa, ambayo bado inaendelea kudunda licha ya wimbi kubwa la kuhamwa na wanamuziki mahiri pamoja na ushindani uliopo hivi sasa.
Kimsingi haitakuwa vibaya kuitaja Zaiko Langa Langa kuwa ni chuo cha muziki nchini humo.
[emoji38][emoji38]Nimecheka kwa sauti, hahaha[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1475192
[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1475192
Sisi WAGUMU hatukumbani na kadhia hizi! [emoji16][emoji16][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ki-Paroko yaaani. Tunapiga sana sala. [emoji16] [emoji16]
Baba yetu na Salamu Maria kama mia hivi! 😁 😁Hahahah kwamba ki nini?????
Baba yetu na Salamu Maria kama mia hivi! [emoji16] [emoji16]