Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Hapa unataka tusemeje sasa, Numbisa? ππ
Aisee, maisha haya! π³
Kama bei rahisi nipeleke huko nikanunue ndizi jirani[emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jirani hiyo nauli yake sasa si bora ununue tu huko ulipo.
Kyabakari iko Musoma ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nyie mpunguze hivyo vishoka jamani. Kwani imeandikwa wapi kuwa mkilianzisha basi na vishoka ni kwa kwenda mbele? Mwanawasu, acha tu tuwe WAGUMU! π πKuna uzi huko mdada analalamika, jamaa yake hajawahi kumpa ht mia tangu waanze mahusiano yao[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Wanaume acheni roho mbaya jamani, wkt mwingine muwe mnajiongeza tu, sio hd mfunguliwe nyuzi huku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna uzi huko mdada analalamika, jamaa yake hajawahi kumpa ht mia tangu waanze mahusiano yao[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Wanaume acheni roho mbaya jamani, wkt mwingine muwe mnajiongeza tu, sio hd mfunguliwe nyuzi huku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mi najua kuwa Kyabakari iko huko, ila huwa napenda miji/vijiji vyenye mandhari ya aina hiyo.
Natamani nifike eneo hilo nikajionee
Na nyie mpunguze hivyo vishoka jamani. Kwani imeandikwa wapi kuwa mkilianzisha basi na vishoka ni kwa kwenda mbele? Mwanawasu, acha tu tule WAGUMU! [emoji16] [emoji16]
Za kupotea?Abee
Hata nyie nanyi muwe mnatoa jamani khaaa