Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Siti aliendelea na shughuli zake za muziki hadi uzeeni.
Kinachoendelea saiv ni hiki"Usifanye moyo mgumu ndugu yangu..."
-B.Mwaitege
Hata nilikua siyajui.. Nimeona coment sehem eti wanarudianaKinachoendelea saiv ni hikiView attachment 1477531kishaView attachment 1477532
Nadi Ikhwani Safaa ( "The True Brotherhood Club") walikuwa vizuri sana kwenye upande wa taarabu asilia, sijui waimbaji wao wa sasa wapoje si unajua tena taarabu asili imepotezewa.Mnamo mwaka 1911, aliona ni bora ahamie mjini Unguja, ili kubooresha maisha yake zaidi. Ujio wake wa mjini humo ulikuwa wa neema kwani alikutana na bwana mmoja wa kundi la muziki wa Taarabu la ‘Nadi Ikhwani Safaa’ aliyeitwa Muhsin Ali.
Matunda gani haya wewe Mlugaluga? 😁😁Tule na matunda kwa wingiView attachment 1477223View attachment 1477224
yes chingu, nimejifunza kutoka kwakoDaemusin kumbe umebadir id..?
kushaanza tena mzee mwenzangu, una miaka 70 lakini bado unaziwazia raha za usiku...umegeuka juma kapuyaUsiku wa kupeana raha