Mnamo mwaka 1911, aliona ni bora ahamie mjini Unguja, ili kubooresha maisha yake zaidi. Ujio wake wa mjini humo ulikuwa wa neema kwani alikutana na bwana mmoja wa kundi la muziki wa Taarabu la โNadi Ikhwani Safaaโ aliyeitwa Muhsin Ali.
Nadi Ikhwani Safaa ( "The True Brotherhood Club") walikuwa vizuri sana kwenye upande wa taarabu asilia, sijui waimbaji wao wa sasa wapoje si unajua tena taarabu asili imepotezewa.
pale mbeleni unakutana na mohammed ilyas a.k. professor wa taarabu, zuhura shaban, rukia ramadhan (ulikuwa zaidi ya utatu mtakatifu)
taarabu ya ukweli iliojaa ustaarabu, umekaa chini pembeni yako yupo kiongozi mkubwa wa serikali anafuatilia live performance......wewe dada mwenye hashuo la urojo kama unataka kucheza nenda mbeleeee.
================
AMEJITOKEZA = mohd ilyas
dedication kwa yule aliyepokonywa nywila๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Jicho lako la mahaba kwangu limejitokeza..
Habity..habity ya habibi limejitokeezaa..
Mwingi darling wa haiba milele nitamtunza
Milele..milelee..milelee nitamtunza
Karibu muhiba moyoni..moyoni kuniliwaza
Mjuzi wa huba twabibu wangu wa kwanza
Amepambwa kapambika mpenzi amejitokeza
Ya-umri ya-umri ya-umri amejitokeza
Na sifa za kutajika zote zina nibembeza
Maishani-mishani..maishani zina nibembeza
Ww msifika wengi..wengi umewashangaza
Pendo la hakika..hakika..hakika limenishabembeza