93.7Efm kivipi?
93.7Efm kivipi?
ISISAMUN RA
Akikujibu naomba uni-tag.
Nataka kuanzisha kituo cha kufundisha[emoji3]
Asante ndugu yangu!ISIS tupo nyuma yako kukusapot ufike Likes 180,000. Mimi ndo nimesimama kidete kabisa nyuma yako.
Acha uchokozi
Si usubiri uulizweee 😀😀
Unajua style inakua sana haswa kwa nilivyoona wasio wa TZ siku hizi ni wazazi kusaidia watoto kuwa na wachumba mapemaaaa
unajua we mtu fresh sana, sema ndo hivo CCM inakuharibu
The one and onlyISIS