Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo sehemu ni hakunaga

Nashangaaa why hadi leo Dar hakuna sehemu kama hiyoooo kihivyooo au kizaidi

Najua za uhindini kule na mjini ila hazina uondooooooo huo
Bongo/Dar uswahili mwingi. Mtoto wa tandale umwambie pweza 15,000 atakutukana... ye ashazoea zile vipande vya 200 unachomvya kwenye bakuli la pilipili. Mnashea mimate ya kwenye stiki hadi na mateja.
 
Ukienda Zanzibar bila kula sea foods pale Forodhani garden jioni, basi bora ungeenda kigamboni tu.

956f7b9e4021c980c4a7b71796521c4f.jpg
0e0bace44a24d3ed91201d46a7affca3.jpg
b05c997e16f5597cfb4f93cec1f7d598.jpg
Hiyo picha ya kati kati kulia mbona inaonekana kama ni mamba kakaushwa
 
Bongo/Dar uswahili mwingi. Mtoto wa tandale umwambie pweza 15,000 atakutukana... ye ashazoea zile vipande vya 200 unachomvya kwenye bakuli la pilipili. Mnashea mimate ya kwenye stiki hadi na mateja.

Ha ha haaa

Kweli kabisa

Watu wengi hawaelewi ile ya rahabjioe mwenyewe

Kunbukumbu inakaa milele na mtu kujisikia furaha

Ila naona ku target watu wanaoweza kununua ni rahisi pia.... ni kufanya moja mbili na hiyo inajipaaaaaa

Kwa hao wapenda bei ndogo nao wazuri unawapatia cha kuendana na bei...

Kidogo kidogo ujaza kibaba

Eeeeeh
 
Back
Top Bottom