Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wasomi. Halafu eti unategemea upate wasio mafisadi. Kwa malezi na falsafa ipi ya jamii?
IMG-20200615-WA0019.jpg
 
Umetususa ndiyo. Unazunguka huko kwenye majukwaa mengine huko halafu huku huji ndo nini sasa? Acha hizo Mkinga [emoji51][emoji51][emoji51]
Kinachonifanya nisije huku ni kwamba simu yangu picha hazifunguki.yaani zinafunguka kwa bahati sana, sasa naona huku post nyingi ni za picha (hasa memes) sitaki kupata uhondo nusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom