Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wamebwaga manyanga ....
michuzijr_20200615_135312.jpg
 
Porini kuna mambo mazito huko
Mama yuko tayari kutoa maisha yake ili kuhakikisha wanawe wanabakia salama. Mama huyu alijeruhiwa katika mapambano makali dhidi ya kundi la fisi waliotaka kukwapua wanawe. Madaktari ilibidi kumfanyia operesheni iliyookoa maisha yake.
View attachment 1479679

#HakunaKamaMama
 
Back
Top Bottom