Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umetususa ndiyo. Unazunguka huko kwenye majukwaa mengine huko halafu huku huji ndo nini sasa? Acha hizo Mkinga [emoji51][emoji51][emoji51]
Kinachonifanya nisije huku ni kwamba simu yangu picha hazifunguki.yaani zinafunguka kwa bahati sana, sasa naona huku post nyingi ni za picha (hasa memes) sitaki kupata uhondo nusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…