Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mungu awaponye wagonjwa wote...
Kazi zinaendeleaPoleni wakulima wote...
✔✔Kazi zinaendeleaView attachment 1479889
Natamani tupate uongozi wa juu mpya nchini
Mama yuko tayari kutoa maisha yake ili kuhakikisha wanawe wanabakia salama. Mama huyu alijeruhiwa katika mapambano makali dhidi ya kundi la fisi waliotaka kukwapua wanawe. Madaktari ilibidi kumfanyia operesheni iliyookoa maisha yake.
View attachment 1479679
#HakunaKamaMama
Wasomi. Halafu eti unategemea upate wasio mafisadi. Kwa malezi na falsafa ipi ya jamii?
View attachment 1479855
Besti kapo evaaa [emoji1547][emoji1547][emoji1547]Huyu muheshimiwa ndiyo rafikiake muheshimiwa sana mbunge wa Kawe au vipi