Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,921 Usilipe visasi, lipa bili.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,922 Tunataka kupata pesa pale watu wanapotumia bidhaa zetu na sio wanaponunua bidhaa zetu." Jeff Bezos
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,923 Facebook haikutengenezwa ili ije kuwa kampuni, iliundwa ili kuifanya Dunia kuwa wazi na yenye muunganiko wa watu kwa pamoja." Mark Zuckerberg
Facebook haikutengenezwa ili ije kuwa kampuni, iliundwa ili kuifanya Dunia kuwa wazi na yenye muunganiko wa watu kwa pamoja." Mark Zuckerberg
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,924 Usihangaike na sifa unazopewa wakati upo sehemu hiyo, Sifa za kweli ni zile ambazo unapewa wakati mwenyewe haupo, hizo zingine ni kelele za wapiga debe." Ruge Mutahaba
Usihangaike na sifa unazopewa wakati upo sehemu hiyo, Sifa za kweli ni zile ambazo unapewa wakati mwenyewe haupo, hizo zingine ni kelele za wapiga debe." Ruge Mutahaba
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,925 Usiogope kuacha kitu kizuri na kwenda kutafuta kitu kikubwa zaidi." John D. Rockefeller
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,926 Sehemu pekee ambayo mafanikio hupatikana bila ya kufanya kazi ni kwenye kamusi tu." Vidal Sassoon
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,927 Njia rahisi zaidi ya kuanza jambo fulani ni kuacha kuongea na kuanza kulifanya." Walt Disney
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,928 Nimekuja kugundua kumbe ninapofanya kazi kwa bidii zaidi ndivyo bahati nyingi zaidi pia nazipata." Thomas Jefferson
Nimekuja kugundua kumbe ninapofanya kazi kwa bidii zaidi ndivyo bahati nyingi zaidi pia nazipata." Thomas Jefferson
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,929 Namchagua mtu mvivu kufanya kazi ngumu sababu mtu mvivu hutafuta njia rahisi zaidi ya kuifanya kazi hiyo," Bill Gates.
Namchagua mtu mvivu kufanya kazi ngumu sababu mtu mvivu hutafuta njia rahisi zaidi ya kuifanya kazi hiyo," Bill Gates.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,930 Kuacha kutangaza biashara yako ili uweke akiba ya pesa ni sawa na kusimamisha muda ili kutunza muda," Henry Ford.
Kuacha kutangaza biashara yako ili uweke akiba ya pesa ni sawa na kusimamisha muda ili kutunza muda," Henry Ford.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,931 Ni vizuri kujifunza kutoka kwa mshindani wako lakini kamwe usifanye kama yeye," Jack Ma.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,932 Mafanikio yanahitaji uvumilivu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,933 Umasikini umepitwa na wakati, ujanja ni kufanikiwa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,934 Njia ya mkato itakuchelewesha kufanikiwa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,935 Wewe ndie mkurugenzi mkuu wa maisha yako, una uwezo wa kuajiri na kufukuza watu kwenye maisha yako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,936 Kama hauwezi kufanya mambo makubwa, fanya mambo madogo katika njia kubwa." Napoleon Hill.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,937 Tumia muda kufanya jambo sahihi, Unafanya biashara? Basi hakikisha unacheza na muda kuanzia katika maamuzi mpaka utendaji. Kujipanga, kujitayarisha ni mojawapo ya mikakati ya kuendana na muda ambao unapanga kuamua jambo.
Tumia muda kufanya jambo sahihi, Unafanya biashara? Basi hakikisha unacheza na muda kuanzia katika maamuzi mpaka utendaji. Kujipanga, kujitayarisha ni mojawapo ya mikakati ya kuendana na muda ambao unapanga kuamua jambo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,938 Ukiona haupati ugumu wowote katika kutimiza ndoto zako, acha mara moja kisha jiulize mara mbili.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 16, 2020 #1,175,939 Fanya kazi kimya kimya, acha mafanikio yaongee.
Kgothalo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2015 Posts 8,491 Reaction score 46,839 Jun 16, 2020 #1,175,940 @capitalpool