moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Undertaker [emoji39]
Undertaker [emoji39]
Haya watia nia sasa mkae mkao wa kazi, soon majimbo na kata zinakuwa wazi na kipenga kinapulizwa.
Wakulima poleni sana..
Mungu atupe afya na uzima..
Kweli mwezi mtukufu umeisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Usiku keki [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1480832
Kufanikiwa kwa kiwango gani? Niwe na nini ndiyo nijihesabu nami ni mmoja wa waliofanikiwa...Kwa sababu nadharia za uchumi (hasa huu wa kibepari unaotawala dunia) watu wote hawawezi kufanikiwa. Actually mfumo umesukwa kiasi kwamba ni wachache tu ndiyo watafanikiwa (Wajanja asilimia 1 tu ndiyo wanamiliki uchumi wa asilimia 95% waliobaki)...Umasikini umepitwa na wakati, ujanja ni kufanikiwa.
Ukipata likitumbua linene la moto moto lililoumuka lenye urojo rojo hivi usiku unapita harakaaaaa....Usiku wa kula vitumbuaView attachment 1480835
Supu supu teketeke[emoji16]Usiku wa kula konokono lainiii [emoji8]
View attachment 1480862
Haya ni mayai, sio makalio[emoji4]Ukipata likitumbua linene la moto moto lililoumuka lenye urojo rojo hivi usiku unapita harakaaaaa....
View attachment 1480861
Tangaza nia jimbo la Msalala au Ushetu