Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1592223553861.jpeg
 
Kufanikiwa kwa kiwango gani? Niwe na nini ndiyo nijihesabu nami ni mmoja wa waliofanikiwa...Kwa sababu nadharia za uchumi (hasa huu wa kibepari unaotawala dunia) watu wote hawawezi kufanikiwa. Actually mfumo umesukwa kiasi kwamba ni wachache tu ndiyo watafanikiwa (Wajanja asilimia 1 tu ndiyo wanamiliki uchumi wa asilimia 95% waliobaki)...

Tuwe na definition ya mafanikio katika muktadha wetu....

(Nimekukorofisha makusudi. Nakata karibia miezi mitatu bila kula za uso. I need some [emoji12][emoji12][emoji12])
Stress zimeisha zoote bro 😆 😆 😆 😆 😆 😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣 🤣 mapovu nafulia nguo mwenyewe
 
Back
Top Bottom