Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

46ba65dc-f324-4da4-bc68-1f8251d925d0.jpg
 
“Shule za msingi na sekondari watamaliza muhula wa kwanza wa masomo Aug 28,2020 na kuanza muhula wa pili utakaoishia Dec 18,2020, ili kukamilisha muhtasari wa masomo, shule (isipokuwa Awali) zitalazimika kuongeza saa 2 za masomo kila siku ili kufidia muda uliopotoea”- NDALICHAKO https://t.co/N4FkKXigAi
Sawasawa..
 
Back
Top Bottom