Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Bado wanakufa na sehemu nyingi maambukizi yanakuja juu lakini who cares? Hata barakoa sasa ukivaa uvae usipovaa shauri yako. Maisha yanaendeleaHv huko walikokuwa wanaandamana mbona inaonekana hali iko kawaida tu na wkt tulikuwa tunasisitizwa kujilock down.
Hapo ndio unapoona kuna kiini macho
Mbowe rais 2020. Pipoooooziiii !!!Demokrasia yachanua ndani ya Chadema.
Mpaka sasa wagombea 11 watangaza nia ya kuwania urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania View attachment 1481808
Mbowe rais 2020. Pipoooooziiii !!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1481892
Sizitaki mbichi hizi ama?
View attachment 1481899
Ila Wangoni hatupo hivi kwakweli, wanatuoneaView attachment 1481915
Mmmmh wamatengo hawapo hivi, hawa nadhan wayao [emoji23][emoji23][emoji23]Basi watakuwa ni ndugu zenu wamatengo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]