Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu dogo anafaa. Hana makuu kama babake. Akina Karume hawa hawaeleweki hawa. Mara wanageuka mashangazi, mara hivi [emoji16][emoji16][emoji16]Safari ya matumaini ya mh Hussein MwinyiView attachment 1481939
Mzee wa Urojo ana maoni gani kuhusu huyu bwana mdogo?Safari za ukweli huenda kama mchezo mchezoView attachment 1481942
Hiyo blue zamani haikuwa hivyo (ilikuwa imepauka- samawati)Rangi gani mkuu?
purpose number 1View attachment 1475389