AsanteMida ya msosi karibuni
Nilijua tu lazima uquote hii post.Hhahaahah
Mtulize huyoKula likes utulie kwqnza
CCM ni ugonjwa mbaya sana, wanaumwa ugonjwa huu kwanza hawajitambui kama wanaumwa.haskii haoni
ISISISIS embu weka posts bhana
Nataka nimchungulie.
Poa poa
Yes ooooo
Wazee wa zamani waliwatunza wazazi wetu vizuri
Ila miaka hii kama 20 10 naona wazazi wengi kujisahau
Mie nitakaza buti
Hakuna cha eti mapema sijui nataka uhuru uhuru wa nini
Mbona wengine tuliwahi shaaaaaaaaa na madigirii tulikuwa nayo vichwani
Lakini sijui ilakuaje wakapoteaWalisumbua kinoma