Kabisa Mkuu, watu wanaumwa huu ugonjwa. Wanasubiri matrilion ya Acacia, ni wagonjwa sana hawa watu.ni kama dini hivi
Basi usije PM ndugu. Ungenizawadia kabinti ka1 wala nisingekua na maneno na wewe.Ha ha haaaaaa
Geti kali kwa sasa hawafika miaka hiyo waliobaki... wengine wameshapita.
Like u-likiwePia usisome kilichoandikwa, wewe toa like tu.
Hahahahahhahahaha hiyo dozi unatumia kwa muda gani Mkuu?dozi ya ugonjwa hiyao![]()
HahahahahahaLike u-likiwe
Mara moja Kwa mwezi mpaka Oct 2020Hahahahahhahahaha hiyo dozi unatumia kwa muda gani Mkuu?
mkuu unataka kumzidi mswati nini.?!Basi usije PM ndugu. Ungenizawadia kabinti ka1 wala nisingekua na maneno na wewe.