Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanamuziki Lionel Richie anasimulia kipindi cha ubaguzi wa rangi kuna siku akiwa na Baba yake walitokea wazungu ambao walikuwa wamelewa na kuanza kumtukana Baba yake na kutaka kumpiga. Anasema Baba alichofanya ni kumbeba Lionel na kukimbia, Lionel alipomuuliza kwanini hakuamua kuwapiga, Baba alimjibu "Mwanangu nilikuwa na chaguo niamue kuwa mwanaume au niwe baba
 
Saikolojia: Ukiwa na ukaribu sana na mtu, unaweza kuhisi anaongea na wewe pindi unapokuwa unasoma ujumbe wake ambao anakuwa amekutumia kwenye simu, Unasoma lakini unahisi kwa kusikia sauti yake namna anavyowasilisha ujumbe huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…