Na Barcelona kwa sasa inatazama namna ya kupunguza bili ya mishahara kwenye kikosi chao baada ya janga la corona, huku hesabu zikipigwa za kumpige bei staa huyo wa Ufaransa. Manchester United walihusishwa juu ya kumsajili fowadi huyo kabla ya kwenda kujiunga na Barcelona, huku kinachosemwa ni kwamba miamba hiyo ya Old Trafford inaweza kuihitaji tena saini yake kama wakisikia amewekwa sokoni.
Taarifa iliyoripotiwa na tovuti ya Diario Gol ya huko Hispania imedai kwamba Messi na Griezmann walitibuana kwenye mazoezi ya timu hiyo na kumfanya kocha wao Setien na wachezaji wengine wa timu hiyo kuingilia kati kuweka mambo sawa ili wasirushiane ngumi.
Na sasa wakati Griezmann akionekana kwamba atafunguliwa mlango wa kutokea, Messi anaripotiwa kukaribia kusaini dili jipya litakalomfanya kuendlea kubaki Nou Camp kwa muda mrefu zaidi.
Kepler ni sayari inayofanana na Dunia kwa vitu vingi, Kuna maji, Oksijeni na pia Gravitational Force 9.8 m/s. Iko mbali sana, Kama chombo kitaenda kwa kasi ya mwanga 299,792,458 m/s itachukua miaka 5,000 kufika huko.
Venus Flytrap ni jamii ya mimea ambayo hula wadudu. Majani yake yana vinywele ambavyo mdudu akigusa tu, ndani ya nusu sekunde mdudu huyo hufunikwa, Baada ya hapo hutoa kemikali ambayo huanza kummeng'enya mdudu taratibu na hujifungua baada ya shughuli kuisha.
Saikolojia: Mwanaume anapotaka kuachana na wewe huanza kulaumu kwa kila kitu, pia huanza kukutafutia makosa madogo madogo. Mwanamke anapotaka kuachana na wewe, Huamua kukaa kimya na kukuacha ufanye mambo unavyopenda wewe bila kukulalamikia.
Phantom Vibration Syndrome ni hali ambayo unaipata kwa kuhisi simu yako ina Vibrate ikiwa mfukoni lakini kumbe sio, Watu 9 kati ya 10 hupata hali hiyo.
Garry Harrington kutoka jimbo la Oregon, Marekani mwaka 2012 alihukumiwa kifungo cha siku 30 gerezani na kutozwa faini ya Tzs 3,473,930/= Kwa kosa la kukusanya maji ya mvua bila kibali. Katika jimbo hilo mvua inatajwa kuwa mali ya serikali, Hivyo inabidi uwe na kibali kama unataka kukusanya maji yake.
Lisa Sparxxx' mcheza Filamu za ngono kutoka Marekani, Anashikilia rekodi mpaka sasa ya kufanya mapenzi na wanaume wengi zaidi. Alifanya mapenzi na wanaume 919 kwa saa 24 tu.Kumbuka: Yupo kwenye ndoa tangu mwaka 1995, Mme wake anaitwa Jeff Sparks.