'Kuna Mzee Mmoja aliwahi kuniambia usione unapata urahisi katika majambo yako hata kama unakutana na watu usiowajua, huenda katika familia yako kuna mmoja wenu alikuwa akiwafanyia mema zaidi wale aliokutana nao, nawe usiache kutenda wema kwa unaokutana nao'