Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kamanda baada kuishi ughaibuni kwa miaka mingi kiasi hicho unaweza kujaribu kufanya kitu cha aina hiyo?
Swali gani tena hili kamanda? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]

Hiyo ni kazi yenye laana sana na wengi wao (hasa wanawake) huwa wanakufa vifo vya ajabu ajabu ikiwemo kujiua na drug overdose.
 
Hahahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Aseee, samhani sana.
Jinsi ulivyoelezea na namna ulivyoweka ufafanuzi mwili wangu ulisisimka sana.
Niliogopa, nadhani siwezi kuishi baadhi ya nchi hapa Duniani
 
huyu mzee bwanaaaaa

Rais Magufuli amempigia simu Waziri Biteko wakati Serikali ikikabidhiwa madini ya Tanzanite yenye thamani ya Tsh. Bil 7.8 iliyoyanununua kwa mchimbaji mdogo Saniniu Laizer. “Hongera Laizer, najua unakwenda kutafuta Mwanamke mwingine, ukatafute Mke wa Kisukuma”
 
Man Utd XI: De Gea, Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire, Shaw, Matic, Fernandes, Pogba, Martial, Rashford, Greenwood

Subs: Romero, Bailly, Mata, Pereira, Fred, James, Ighalo, McTominay, Williams

Sheff Utd XI: Moore, Baldock, Stevens, Basham, Jagielka, Robinson, Norwood, Fleck, Lundstram, Mousset, McGoldrick

Subs: Verrips, L.Freeman, McBurnie, Sharp, K.Freeman, Osborn, Rodwell, Zivkovic, Berge
 
Swali gani tena hili kamanda? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]

Hiyo ni kazi yenye laana sana na wengi wao (hasa wanawake) huwa wanakufa vifo vya ajabu ajabu ikiwemo kujiua na drug overdose.
Nimeenda google kusoma baadhi ya stories zao aisee wanapitia magumu. Kudhulumiwa pesa hasa pale wanaposhindwa kukamilisha scene anayoitaka director. Haja kubwa na ndogo kutoka pale wanapozidiwa na spidi. Scene moja wanaweza irudia hata mara kumi ili mradi ipatikane inayotakiwa aiseee
 
Messi kwa mkataba wa sasa ambao unaelekea ukingoni, analipwa kiasi cha Pauni 500,000 kwa wiki na Barcelona imeridhia kuendelea kumlipa licha ya umri wake kuonekana umeenda tofauti na inavyokuwa kwa wachezaji wengine ambao hupunguziwa mishahara pale umri unapoonekana kuwatupa mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…