Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Namshukuru Mungu kwa kweli, pamoja na misukosuko yote inayoendelea Duniani kwa ujumla sijambo. Ingawa huyu Corona amekuwa king'ang'anizi, hataki kuondoka kabisa.
Suluhisho la gumu lolote lipo Nafsini mwetu, huaminilo ndilo huwa...
Ni mengi yanayo tuzunguka hatujayatatua, Mungu ana makusudi na sisi, tuzidi kumtegemea kwa kila jambo [emoji120][emoji120]
 
Na haya ni maisha ya wanadamu wachache walio pendelewa na Mwenyezi Mungu, misukosuko inawakwepa kwa ghafla mno kiasi kwamba mashuhuda wanashindwa kuamini ni vipi imetokea!!!
Mungu ni jeuri [emoji120][emoji120]
Kaa nami Bwana,kila saa, kila wakati,nina haja na wewe Yehova[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…