myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
π π π π πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈPoti ana mbio yule. Wabishi ni cole na davet
Miiko ya Uenyekiti wa Chama cha WAGUMU inambana sana Yego aisee. Ni hilo tu yaani! π¬π¬Yego ni muoga sana kuongea na warembo sijui shida nini?
Ila kaDavet ni kahuni kale katoto, kaliniomba sana kaje nyumbani nilikakatalia,kwangu kuna vibinti vingi, ningemfunga kwa kweli.Cole hana shida mtoto wa watu, mpooole...