Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yawezekana ni hao tapatalk na wala siyo simu yako. Jaribu kufanya hivi halafu unipe mrejesho.Hili janga sijui litaisha lini jamani nakosa hata raha ya kusoma uzi wa likesView attachment 1488914
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Logout
2. Safisha cache na data zote za JF App
3. Uninstall app
4. Restart phone
5. Install app
Kama shida bado ipo fuata hatua zote ila ukifika hatua ya tano tumia email nyingine ya Google kuingilia Playstore wakati wa kudownload JF App (Assuming unatumia android). Wakati mwingine tapatalk huwa wanafanya hivi nadhani ili kufanya watu wanunue premium membership kutoka kwao.
Nilikuwa na tatizo kama lako na nilijaribu kila mbinu mpaka nilipodownload upya Jf App kwa kutumia email nyingine ya Google ndiyo mambo yakarudi kama zamani.
Hebu jaribu kufanya hivyo tuone.
Na gheto uje kweli usikomee njiani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Khantwe umeona hii? Au tatizo lako limeisha?