Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hili janga sijui litaisha lini jamani nakosa hata raha ya kusoma uzi wa likesView attachment 1488914

Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana ni hao tapatalk na wala siyo simu yako. Jaribu kufanya hivi halafu unipe mrejesho.

1. Logout

2. Safisha cache na data zote za JF App

3. Uninstall app

4. Restart phone

5. Install app

Kama shida bado ipo fuata hatua zote ila ukifika hatua ya tano tumia email nyingine ya Google kuingilia Playstore wakati wa kudownload JF App (Assuming unatumia android). Wakati mwingine tapatalk huwa wanafanya hivi nadhani ili kufanya watu wanunue premium membership kutoka kwao.

Nilikuwa na tatizo kama lako na nilijaribu kila mbinu mpaka nilipodownload upya Jf App kwa kutumia email nyingine ya Google ndiyo mambo yakarudi kama zamani.

Hebu jaribu kufanya hivyo tuone.

Na gheto uje kweli usikomee njiani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Khantwe umeona hii? Au tatizo lako limeisha?
 
Mkuu mambo niaje majukumu yamebana sana plus mwaka wa uchaguzi nimetia nia Jimbo la ukerewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini ubingwa baada ya miaka 30 lazima nipite hapa
Uko siriazi kuhusu kutia nia?

Nina ukaribu sana na tajiri mmoja kutoka huko Ukerewe na ana ushawishi kiaina anaweza kusaidia. Sema kama kweli uko siriazi tuliamshe dude...

Hata zile habari nilizokuuliza hukunipa tena ukapotea tu mazima [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Mkuu mambo yaliingiliana sana hila end of July nitakuwa free kabisa
Kutia nia ni jokes tu Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…