The Guinness Book of World Records ni
kitabu cha marejeleo kinachochapishwa kila mwaka na ni mkusanyo wa rekodi za dunia za mafanikio ya binadamu pamoja na maajabu ya ulimwengu asili. Kitabu chenyewe kinashikilia record ya kuwa kitabu kinachoibiwa zaidi katika maktaba nchini Marekani.
Kila tarehe 9, November ni siku ya The Guinness Book of World Records, ni ruhusa kwa mtu wa aina yoyote kama anaweza kutafuta record ambayo anaweza kuvunja na kuingia katika kitabu hiki, kwa mfano uwe binadamu wa kwanza kutembea kwa umbali mrefu zaidi kwa kutumia miguu na kumbuka ni kutoka South Africa mpaka japan ndiyo umbali mrefu Zaidi duniani ambao unaweza kutembea kwa miguu.