Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Irina Shayk alikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na C.Ronaldo, baada ya kuachana akaandika katika mtandao wa Instagram kupitia akaunti yake "Niunfolllow kama umenijua mimi kupitia uhusiano wangu na C.Ronaldo", baada ya masaa 24 alipoteza Followers million 11.
 
IMG_20200627_084405.jpg
Kuna nukta nyeusi 12 katika huu mchoro lakini macho yako hayawezi kuona zote kwa wakati mmoja.
 
Emile Ratelband kutoka Uholanzi mwaka 2018 alifungua kesi akiitaka mahakama imbadirishie umri wake kutoka miaka 69 mpaka 49. Alidai kama kisheria mtu anaweza kubadili jina, kwanini asiruhusiwe kubadili umri. Alidai badiliko hilo la miaka lingemuwezesha kuwa kwenye uhusiano na wanawake vijana zaidi.
Duh!!
 
FAIDA YA KUROOT SIMU
1:-Inakuwezesha wewe kufuta (Unnistall) App ya aina yoyote ambayo ipo katika simu na wewe hauna matumizi nayo.
2:-Itakuwezesha kupakua (download) bure App ambazo zinazouzwa .
3:-Unaweza kuzima matangazo (ADDS) ambayo yanatokea katika App mbalimbali wakati ukiingia.
4:-Simu kuwa na uwezo wa kukaa na chaji kwa mda mrefu.
5:-Kasi ya Internet ya simu inaongezeka na kufanya kazi kwa haraka Zaidi.
6:-Simu itaacha kugandaganda wakati wa matumizi yako.
 
Back
Top Bottom