Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Greenland, Norway na Finland ndio nchi zinazoongoza kwa kufunga swaumu kwa masaa mengi zaidi zikitumia masaa 20 mpaka kuja kufutari New Zealand, Argentina, South Africa, Australia na Chile ni nchi ambazo wanafunga kwa masaa 11 tu na kujipatia futari.Kwetu sisi Afrika mashariki Tanzania, Kenya, Uganda Nk. Tunatumia masaa 13 tu.
 
Kama utakanyaga mwezini basi alama za unyayo wako zitabaki zaidi miaka million 100 kwa sababu mwezi hauna anga, ikiwa na maana mwezini hakuna upepo ambao utafuta zile alama za unyayo wala maji ambayo yataondoa zile alama za unyayo.
Ina maana huko hakuna mvua wala mimea au viumbe hai? Na huko Mars je?
 
Siku za hivi karibuni zimeenea video na picha mbalimbali zikiwaonyesha watu waliovaa suti na viatu vilivyofanana huku wakiwa wamebeba jeneza na wanacheza mziki.Wanaitwa Wachezaji Mziki Katika Msiba, wanatokea Katika nchi ya Ghana kisichojulikana ni kwamba kucheza mziki Katika msiba ni jambo lipo mda mrefu sana katika nchi ya Ghana.Katika tamaduni moja wapo ya Ghana ni kwamba wanaamini kifo sio mwisho wa maisha bali ni mwanzo wa maisha mapya hivyo basi kupelekea wafiwa kuomboleza msiba huku wakiwa na furaha.Familia ya wafiwa hulipangilia jeneza vizuri. Kuomboleza msiba mpaka kumalizika huchukua hadi siku tatu na wafiwa huvaa nguo nyekundu na wazee wa kucheza huku wamebeba jeneza huvaa suti nyeusi.Watu wengi kuhudhuria Katika msiba ni kwamba mtu huyo alikuwa anapendwa sana wakiwa wachache ni kinyume chake na unaruhusiwa kuhudhuria hata kama humjui aliyefariki. Lakini kama kawaida yetu Waafrika tunahudhuria wengi kwa ajili ya kula na kucheza mziki tu.Kwa upande wa Uchumi hii ni moja wapo ya ajira inayowaingizia kipato vijana kutoka Ghana imewasaidia kutokaa bila ya kazi katika maisha yao kuna vikundi vya kucheza misibani zaidi ya 100 Katika nchi ya Ghana.Lakini kama umebahatika kuona video zake na ukausikia ule mziki huku wao wanacheza hauna mahusiano yoyote na wale watu wameuweka tu. Mziki ule ni maarufu unaitwa Astronomia Producer wake ni Tony Ingy + Vicetone.
 
Tafiti: Mbwa wanapenda muziki aina ya rege na muziki laini wa Rock' kuliko aina nyingine za muziki.
Yaani mbwa huyu huyu popi anapenda "dadi wereva yua ailavu yuu..." "no bade kani stopu rege" au "ai lavu bati ailaidi"[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hawa yuu Anko kwa leo [emoji137][emoji137][emoji1][emoji1]
 
Tarehe 29 mwezi April mwaka 2020 jiwe kubwa linaloitwa (52768) 1998 OR2 litapita karibu na dunia bila ya kuigusa litapita kwa umbali wa kilomita kutoka dunia ilipo na litakuwa linapita kwa spidi ya kilomita 31,320 kwa saa.Tarehe 13 mwezi April tena mwaka 2029 jiwe linaloitwa Apophis lenye kilo billion 27 litapita karibu sana na dunia. Zaidi ya watu billion 2 wataliona hili jiwe kwa macho ya kawaida kabisa ila nalo halitaigusa dunia.
 
Screenshot_20200604-222449_1593116320508.jpg
 
Yaani mbwa huyu huyu popi anapenda "dadi wereva yua ailavu yuu..." "no bade kani stopu rege" au "ai lavu bati ailaidi"[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hawa yuu Anko kwa leo [emoji137][emoji137][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko usibishane na utafiti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa leo am fine anko
 
Mamba walikwepo tokea miaka million 250 baada ya kupotea kwa wanyama aina ya dinosaur.Mamba huishi miaka 40 mpaka 50 na wapo wanaopita zaidi ya hapo. Wakati binadamu tukiwa na meno 32 basi mamba wana meno 24 tu. mamba hatafuni chakula kama afanyavyo binadamu ,mamba hupasua mapande na kumeza. Mamba anaweza kuishi bila ya chakula kwa miaka 3 na Zaidi.Ngozi ya mamba ni bulletproof (haingizi kitu kirahisi) na Mamba hutoa machozi wakati akiwa na furaha.Kati ya mchana na usiku basi mamba anaona vizuri zaidi usiku macho yao huwa na doti jekundu , kama upo kwenye maji na ukaona doti mbili nyekundu basi toka haraka .
 
Back
Top Bottom