Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabla ya kuitwa Undertaker katika mchezo wa mieleka alikuwa anaitwa The Master of Pain kisha Akaitwa The Punisher ,Punisher Dice Morgan, Commando, Mean Mark Callous na baadae akajiita Kane the Undertaker na akaondoa jina la ndugu yake Kane na mwisho akabaki na jina maarufu kwa mda wote ambalo ni "The Undertaker"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kiukweli hela tamu jamani. Natamani kuuza kiungo changu cha "uzima" kama kuna wateja wasio na longo longo
Ila kiukweli hela tamu jamani. Natamani kuuza kiungo changu cha "uzima" kama kuna wateja wasio na longo longo
 
Katika kituo cha anga cha marekani (NASA) kama utapakua (download) kitu chenye GB 91 kwa kasi ya mtandao katika eneo lile basi kitaingia kwa sekunde 1 tu. Vipi huko kwenu ? Audio yenye Mb 5.3 inachukua mda gani?
mama weeeeeeee........ hiyo internet angeliipata dae urojo bin ugali bin sembeeee
mbona wakorea wangelikoma
 
Back
Top Bottom