Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna App nyingi ambazo watu hutumia kuroot simu zao na lakini ambayo hutumika kirahisi katika simu ni App inayoitwa KINGO ROOT.
1:-Nenda kwenye Browser yako ya aina yoyote ile na tafuta (search) App yako ya KINGO ROOT na ipakue App yako hiyo ina Mb KAMA 3 au 4, baada ya kupakua hakikisha una Mb kama 15, ikishaingia kwenye simu usiifungue.. ngia Kkwenye Setting ya simu yako utaona neno developer ingia humo weka ON shuka chini kidogo utaona neno USB DEBUGG weka tiki, ukimaliza rudi kwenye app ya KINGROOT ifungue utaona neno TRY TO ROOT bonyeza hapo subiri mpaka ifike 100% hapo simu yako itaku ROOTED.

ONYO:- ukifanya root simu yako utakuwa umeondoa warranty mwenyewe na kutokuwa na uhusiano na shirika la simu husika.na kama ukikosea inaweza kupelekea simu kuzima.
 
Ni hali ya ajabu sana ambayo wanayo watoto wawili kutoka Pakistan mmoja akiwa na umri wa miaka 9 na mwengine 13 ,pindi jua linapochomoza wanakuwa na nguvu ya kucheza kama watoto wengine ila pindi linapozama wanapooza miili yao na kutoweza kufanya kitu chochote kile, kwa pamoja (wote wawili) wamepewa jina la Solar kids.
 
Je una hasira au dukuduku ? Basi vizuri ,Ujerumani unaweza kumaliza hasira zako au dukuduku zako za aina yoyote ile kwa kutumia shirika la simu linaloitwa "Schimpf-los" unapiga simu ,kisha unapiga makelele yako ,kutukana, mpaka hasira zako zitakapoisha.
 
Mwezi wa 3 mwaka 2000, mwanamke kutoka Mexico alijifanyia upasuaji nyumbani kwake kwa kutumia kisu ,bila ya daktari yoyote na hali ya kuwa yeye mwenyewe sio daktari au nesi lakini kwa uwezo wa mungu ni wakafanikiwa kuwa wazima yeye na mtoto wake.
 
Back
Top Bottom